๐ JINSI INAVYOFANYA KAZI (SWAHILI)
Uza Bidhaa Zako Mtandaoni kwa Urahisi
Kilimanjaro Marketplace inakuwezesha kufungua duka lako la mtandaoni na kuuza bidhaa zako kwa wateja kote Tanzaniaโbila ujuzi wa teknolojia.
๐๏ธ Hatua ya 1: Jisajili kama Muuzaji
Fungua akaunti yako bure.
๐ Nenda hapa:
https://kilimanjaromarketplace.com/my-account
Jaza taarifa zako na chagua โI am a vendor.โ
๐ช Hatua ya 2: Fungua Duka Lako
Weka taarifa za duka lako:
- Jina la duka
- Namba ya simu
- Maelezo ya biashara
Sasa una duka lako mtandaoni.
๐ฆ Hatua ya 3: Ongeza Bidhaa Zako
Pakia bidhaa zako ukiweka:
- Picha nzuri
- Bei
- Maelezo
Bidhaa zako zitaonekana kwa wateja mtandaoni.
๐ Hatua ya 4: Wateja Wanaagiza
Wateja wanaingia kwenye platform, wanaona bidhaa zako na kuagiza moja kwa moja bila mazungumzo mengi.
๐ณ Hatua ya 5: Pokea Malipo
Wateja wanalipa kupitia:
- Mobile money
- Kadi
Unapokea oda zilizothibitishwa.
๐ Hatua ya 6: Peleka Bidhaa
Baada ya oda, unaandaa na kupeleka bidhaa kwa mteja.
๐ Hatua ya 7: Kuza Biashara Yako
Pata wateja wengi zaidi na kukuza biashara yako zaidi ya WhatsApp na Instagram.
๐ Kwa Nini Ujiunge?
- Fungua duka bure
- Pata wateja wengi zaidi
- Pokea oda kirahisi
- Lipwa kwa uhakika
๐ Anza Sasa
Fungua duka lako hapa:
https://kilimanjaromarketplace.com/my-account
๐ HOW IT WORKS (ENGLISH)
Sell Your Products Online Easily
Kilimanjaro Marketplace allows you to open your own online store and sell products to customers across Tanzaniaโno technical skills required.
๐๏ธ Step 1: Register as a Vendor
Create your free vendor account.
๐ Go to:
https://kilimanjaromarketplace.com/my-account
Fill in your details and select โI am a vendor.โ
๐ช Step 2: Open Your Online Store
Set up your shop by adding:
- Store name
- Phone number
- Basic business details
Now you have your own online shop.
๐ฆ Step 3: Add Your Products
Upload your products with:
- Clear photos
- Price
- Description
Your products will now be visible to customers online.
๐ Step 4: Customers Place Orders
Customers visit the marketplace, view your products, and place orders directlyโno need for long chats.
๐ณ Step 5: Receive Payments
Customers pay using:
- Mobile money
- Card payments
You receive confirmed orders and prepare delivery.
๐ Step 6: Deliver Products
Once you receive an order, you arrange delivery with your customer.
๐ Step 7: Grow Your Business
Reach more customers across Tanzania and grow beyond WhatsApp and Instagram.
๐ Why Join Kilimanjaro Marketplace?
- Open your store for FREE
- Reach more customers
- Receive orders easily
- Get paid securely
๐ Get Started Today
Create your store now:
https://kilimanjaromarketplace.com/my-account
